×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

AJAX NA FEYENOORD KUWANIA SAINI YA OMAR

Vigogo wa Uholanzi Ajax na Feyenood zinawania sain ya kiungo mshambuliaji wa Ipswich Town Omari Hutchinson.

Omari Hutchinson alijiunga na Ipswich Town 2023 kwa mkopo akitokea Chelsea.

Akiwa Ipswich Town Omari amecheza michezo 44 na kufunga magoli 10.

Feyenood na Ajax wamekuwa wakimhitaji Mjamaica huyo ambaye anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji na winga.

#NTTupdates