×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

DANILO KUTIMKIA UARABUNI

Na Mwandishi wetu.

Mlinzi wa kati wa timu ya Taifa ya Brazil na klabu ya Juventus ya Serie A Danilo Luis Da Silva (33) anatarajiwa kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.

Mlinzi huyo anatarajiwa kutimkia Uarabuni kucheza Saudi Pro League pamoja na nyota wengine ambao waliwahi kutamba Ulaya baada ya kupata ofa nono.

Danilo ambaye alijiunga na Juventus mwaka 2019 akitokea Manchester City pia nyota huyo aliwahi kupita Porto na Real Madrid na kufanya vizuri kwenye klabu hizo.

#NTTupdates