×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

DC ARUMERU AONGOZA KIKAO CHA MAJADILIANO YA DIRA 2025 – 2050

Na Mwandishi wetu.

Wanafunzi kutokea shule tofauti Halmashauri ya Arusha DC wamechangia maoni yao ya Dira ya Taifa 2025 – 2050 katika kikao cha DCC kilichofanyika ukumbi wa Halmashauri Agosti 23, 2024.

Kikao hicho kimehudhuliwa na viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa akiwemo Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Emmanuela Kaganda ambaye ameongoza kikao hicho cha majadiliano na mapendekezo ya dira ya 2025 – 2050.

#NTTupdates