×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

ELIUD SAMWEL MCHEKESHAJI BORA WA KIUME WA JUKWAANI

Na Mwandishi wetu.

Mchekeshaji Eliud Samweli Mwakasege ameshinda tuzo ya Mchekeshaji Bora wa Kiume wa Mwaka wa Jukwaani (Stand Up Comedy) katika Tuzo za Wasanii wa Vichekesho Tanzania zinazotolewa leo kwenye ukumbi wa Super Dome Masaki Dar es Salaam.

Eliud alikuwa anachuana na wachekeshaji wengine ambao ni Leonardo, Kipotoshi, Dogo Pepe na Deogratius.

#NTTupdates