×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

EMMANUEL OGBADOU AJIUNGA NA WOLVES

Na Mwandishi wetu.

Mlinzi wa Kati wa timu ya Taifa ya Ivory Coast Emmanuel Elysee Djedje Agbadou Badobre (27) amejiunga rasmi na klabu ya Wolverhampton Wenderers ya EPL kwa dau la Euro Milioni 20 akitokea Reims ya Ufaransa.

Emmanuel Ogbadou alikuwa na msimu mzuri ndani ya Reims ambapo amecheza michezo 15 akipewa Kadi 1 ya njano.

#NTTupdates