×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

GUSA ACHIA MPE DUBE

Na Mwandishi wetu.

Wananchi Young Africans SC wakefanikiwa kuondoka na alama zote tatu baada ya kupata ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya Mashujaa FC Wazee wa Mapigo na mwendo kwenye dimba la KMC Complex Mwenge Dar es Salaam.

Magoli yote ya Young Africans SC yamefungwa na mshambuliaji Prince Mpumelelo Dube dakika ya 7, 21 na 56 na kupeleka furaha kwa mashabiki wa klabu hiyo.

Dube anaingia kwenye rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza msimu huu 2024/2025 kufunga magoli matatu (Hat-trick) kwenye mchezo mmoja na kufanikiwa kuwa mchezaji Bora wa mechi.

#NTTupdates