New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
Maelfu ya wananchi wa Jiji la Dodoma na viunga vyake wajitokeza kwa wingi katika kuadhimisha Miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi yaliyofanyika katika Uwanja wa Jamhuri, jijini Dodoma.