×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

JAY-Z KUINUNUA EVERTON

Na Mwandishi wetu.

Msanii wa Hip-Hop, Mtayarishaji wa nyimbo na Mfanyabiashara raia wa Marekani Shawn Corey Carter (54) maarufu kama Jay-Z yuko mbioni kuinunua Klabu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza (EPL).

Msanii huyo ameingia kwenye mpango huo baada ya kushauria na Bilionea mwenzie John Textor ambaye anamiliki na kuwa na hisa kubwa kwenye klabu ya Crystal Palace ya EPL, Botafogo ya Brazil na Olympique Lyon ya Ufaransa.

Textor amekuwa akishawishi mabilionea kadhaa ili kushirikiana nae kwenye kuinunua Klabu hiyo pamoja na Jay Z ambaye alikuwa akikutana nae mara kwa mara.

#NTTupdates