Na Mwandishi wetu.
Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Ghana, Andrew Pierre Ayew (32), amejiunga rasmi na klabu ya Leicester City kwa dau la paund Milioni 5 na nyongeza ya Milioni 3 akitokea Crystal Palace.
Ayew ameitumikia Crystal Palace kwenye michezo 175 akifunga magoli 21.
#NTTupdates