×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

KEYEKEH AZIDI KUNG’ARA NBC

Na Mwandishi wetu.

Kiungo wa klabu ya Singida Black Stars FC, Emmanuel Kwame Keyekeh (29) raia wa Ghana ameendelea kufanya vyema kwenye ligi kuu NBC 2024/2025, ukiwa msimu wake wa kwanza toka ajiunge na walima Alizeti wa Singida akitokea klabu ya Asante Kotoko.

Keyekeh amefanikiwa kubeba tuzo tatu za mchezaji Bora wa mechi (MAN OT THE MATCH) pia akiifunga Singida magoli mawili.

#📷 SBS FC

#NTTUpdates