×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAJALIWA AKUTANA NA VIONGOZI WIZARA YA ARDHI YA JAPAN PAMOJA NA SHIRIKISHO LA WAWEKEZAJI (JAIDA)

Na Mwandishi wetu.

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Mei 27, 2025, alikutana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan,  Mheshimiwa Hiromasa Nakano  kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa alifanya mazungumzo na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA)  Miyamoto Yoichi pamoja na ujumbe wake ambapo walijadiliana kuhusu masuala mbalimbali ya uwekezaji kwenye sekta za Ardhi, Miundombinu pamoja na Usafirishaji.

#NTTupdates