×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAJALIWA MGENI RASMI MASHINDANO YA KUHIFADHI QUR’AN

Na Mwandishi wetu.

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 08, 2025 ni mgeni rasmi kwenye fainali za mashindano ya kuhifadhi Qur’an Tukufu ya Afrika Mashariki na Kati.

Mashindano hayo yanafanyika katika uwanja wa mpira wa miguu wa Azam, uliopo Chamanzi jijini Dar es Salaam.

Mashindano hayo yameandaliwa na Taasisi ya Mana’hil al Irfan Foundation