Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo kabla ya kwenda kupanda mti wa kumbukumbu katika viwanja vya Makazi ya Rais huyo Bogor Presidential Palace tarehe 25 Januari, 2024.