×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MWENEZI MAKALLA ALIVYOPOKELEWA MKOA WA MANYARA AKITOKEA ARUSHA

KATIBU wa NEC-Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Amos Makalla amewasili Mkoa wa Manyara akitokea Mkoa wa Arusha nakupokelewa na Viongozi wa CCM Mkoa wa Manyara wakiongozwa Katibu wa Chama Mkoa Ndugu Iddi Mkowa.

#NTTUpdates