Na Mwandishi wetu.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno na klabu ya Liverpool, Diogo Jose Teixeira da Silva Jota (28) akijulikana kama Diogo Jota amefariki Dunia leo baada ya kupata ajali ya gari katika jiji la Zamora nchini Hispania akiwa mapumzikoni.
Nyota huyo ambaye alifunga pingu za maisha na Mzazi mwenzie hivi karibuni amepata ajali akiwa kaka yake na kuacha simanzi kubwa kwa wadau wa soka ulimwenguni.
#NTTupdates