×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS DKT. SAMIA AKISHIRIKI ZOEZI LA UNDIKISHAJI KWENYE DAFTARI LA WAPIGA KURA

Na Mwandishi wetu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 11 Oktoba,2024.

#NTTUpdates