×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS MWINYI KUFUNGUA KONGAMANO LA WAZAZI CCM TAIFA

Na Mwandishi wetu.

Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar , Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Verde, Mtoni Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 22 Oktoba 2024.

Dk.Mwinyi atafungua Kongamano lilioandaliwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa kumpongeza kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wa Serikali anayoiongoza ya awamu ya nane.

#NTTUpdates