×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS SAMIA ALIVYOTUA RUVUMA

Na Mwandishi wetu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Wananchi waliofurika katika Uwanja wa Ndege wa Songea Mkoani Ruvuma kumpokea tayari kwa tukio la Uzinduzi wa Mgodi wa Uchimbaji wa Urani (Uranium) Wilayani Namtumbo leo Julai 30,2025.

#NTTUpdates