×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

RAIS SAMIA AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI

Na Mwandishi wetu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 22 Januari, 2025.

Majaji hao walio apa ni amoja na Mhe. Jaji George Mcheche Masaju,Mhe. Jaji Dkt. Ubena John Agatho, Mhe. Jaji Dkt. Deo John Nangela, pamoja na Mhe. Jaji Latifa Alhinai Mansoor.

#NTTupdates