Na Mwandishi wetu.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Meza kuu wakiimba Wimbo wa Taifa wakati wa Mkutano Mkuu Maalumu wa CCM Taifa uliofanyika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete JKCC Mkoani Dodoma leo Machi 29,2025.
#NTTUpdates