New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Daniel Francisco Chapo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.