Na Mwandishi wetu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan akifurahia na Mwalimu wake pamoja na mwanafunzi mwenzake waliosoma pamoja Chuo Kikuu Cha Mzumbe walipokutana leo wakati wa hafla ya uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Majengo ya Kampasi mpya ya Chuo hicho Mkoani Morogoro leo Agosti,2024.
#NTTUpdates