×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

ROBERT PREVOST NDIE PAPA MPYA

Na Mwandishi wetu.

Robert Prevost kutoka Marekani amechaguliwa kuwa Papa mpya wa kanisa katoliki duniani na ataitwa rasmi Papa Leo XIV.

Annuntio vobis gaudium magnum: habemus Papam!, “Ninawatangazia kwa furaha kubwa: tunaye Papa!.”

Muda mfupi uliopita, kutokea Loggia Centrale yaani, kutokea Dirisha la kati la Basilika ya Mtakatifu Petro, Kardinali Shemasi Dominique Mamberti alitangaza matarajio ya kanuni ya kilatini, akitangazia Roma na Ulimwengu wote, jina la Mfuasi wa Kharifa wa Mtume Petro:

“Eminentissimum ac Reverendissimum Dominum, Dominum ) Sanctæ Romanæ Ecclesiæ CardinalemMwadhana Kardinali Robert Francis Prevost wa Kanisa Takatifu la Roma ambaye amejiita jina la Papa Leo XIV.

#NTTupdates