×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

SAADUNI AONGEZEWA MKATABA AZAM FC

Na Mwandishi wetu.

Wanalambalamba Azam FC, wamemuongezea mkataba wa mwaka mmoja mwingine kiungo wao mshambuliaji Nassor Saadun Hamoud (23) ambapo atasalia klabuni hapo mpaka 2026.

Mkataba wa awali ulikuwa wa mwaka mmoja na baadae kuongea kuwa miaka miwili baada ya nyota huyo kuonyesha kiwango kizuri na kuridhisha mabosi wa klabu hiyo.

#NTTupdates