Na Mwandishi wetu.
Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imewasili salama nchini Ivory Coast kwenye mchezo wao wa pili wa Kundi H dhidi ya Guinea, kufuzu michuano ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2025 nchini Morocco.
Taifa Stars ambayo imepangwa Kundi H pamoja na mataifa ya DR Congo, Guinea, na Ethiopia.baada ya mataifa hayo kucheza mchezo wa mmoja linaongozwa na 1.DR Congo yeye alama 3 2.Ethiopia alama 1 3.Tanzania alama 1 4.Guinea alama 0.
#NTTupdates