×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

WAZAZI DSM WAENDA MACHIMBONI KUHAMASISHA KUJIANDIKISHA DAFTARI LA WAKAZI

Na Mwandishi wetu.

Leo Mwenyekiti wa wazazi Mkoa wa Dar es Salaam Khadija Said Ally, na Wajumbe kamati ya Utekelezaji ya Mkoa na wilaya ya Kigamboni, wamefika Kata ya Kimbiji, machimbo ya kokoto ya Uluguluni, eneo walilotoa ahadi ya kurudi na kuwasajili.

Ikumbukwe wakati wa kampeni za udiwani wa marudio kata hiyo, dirisha dogo, Diwani Maimuna Mwinyimvua, alishinda na leo Jumuiya ya wazazi imetimiza ahadi na kwenda kula nao kwa pamoja na kusherehekea ushindi wa Bi Maimuna.

Lakipi pia wametumia fursa hiyo kuhamasisha wachimbaji hao kujiandikisha kwenye daftari la wakazi hapo kesho, na kuwasajili wachimbaji hao kwenye mfumo wa kidigital wa chama cha mapinduzi.

#NTTUpdates