New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya msiba wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Cleopa David Msuya, Upanga jijini Dar es Salaam, Mei 08, 2025.