Na Mwandishi wetu.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewasili Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda na kisha kuelekea Wilayani Magu kwa ajili ya ukaguzi na uwekaji wa mawe ya msingi katika miradi ya maendeleo.
#NTTupdates