Na Mwandishi wetu.
Klabu ya AS Roma ya Italia imefanikiwa kumsajili mlinzi wa kulia Wesley Vinicius Franca Lima akitokea Flamengo FC ya ligi kuu nchini BrazilMBrazil huyo amejiunga na AS Roma kwa dau la Euro Milioni 30, akisaini mkataba wa miaka 3 na akikabidhiwa rasmi jezi namba 43.
Wesley alikuwa na kiwango kizuri kwenye michuano ya kombe la Duniani ngazi ya vilabu la FIFA nchini Marekani akiitumikia Flamengo na kuvutia vilabu vikubwa barani Ulaya na Sasa atawatumikia AS Roma ya Italia kwa miaka 5.
#NTTupdates