×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

YANGA SC YAONGEZA NGUVU KUIVAA MC ALGER.

Na Mwandishi wetu

Mabingwa watetezi wa ligi kuu NBC Young Africans SC wamemtambulisha Kocha mwingine wa viungo Adnan Behlulovic (43) raia wa Bosnia Herzegovina kuungana na Kocha wa sasa wa viungo Taibi Lagrouni r(51) raia wa Morocco.

Adnan ametambulishwa na kuanza kazi rasmi ya kukinoa kikosi hicho kuelekea mchezo wa MC Alger utakaochezwa leo saa 4:00 Usiku.

#NTTupdates