Na Mwandishi wetu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akipunga mkono kwa wananchi alipowasili katika Viwanja vya Ngerengere Mkoani Morogoro tayari kwa Mkutano wa hadhara wa Kampeni za uchaguzi Mkuu Leo August 29,2025.
#NTTupdates