Na Mwandishi wetu.
Dakika 45 za kipindi cha kwanza Cha mchezo wa hatua ya kwanza kufuzu hatua ya makundi klabu bingwa Afrika CAFCL zimemalizika na wananchi Young Africans wanaongoza kwa goli 1-0 dhidi ya CBE YA Ethiopia Goli la young Africans SC limefungwa na Prince Mpumelelo Dube dakika ya 45.
#NTTupdates