Na Mwandishi wetu.
Picha mbalimbali zikiwaonyesha wanachama kindakindaki wa klabu ya Young Africans SC, wakiwa ndani ya ukumbi wa The Super Dome uliopo Masaki Dar es Salaam kwenye mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo kujua mafanikio waliyoyapata na maandalizi ya klabu hiyo kuelekea msimu ujao.
#NTTupdates