Na Mwandishi wetu.
Klabu ya Barcelona imemuongezea mkataba mlinzi wao wa kati Inigo Martinez Berridi (33) raia wa Hispania kusalia klabuni hapo mpaka 2026.
Martinez ambaye amekuwa akicheza vyema eneo la kati na kijana mdogo Pau Curbasi na kufanya matajiri hao kumuongezea mkataba mlinzi huyo Inigo Martinez amecheza michezo 33 akifunga magoli 3 na kutoa assist 4 kwenye msimu huu hadi sasa katika michuano yote ambayo Barcelona ameshiriki.
#NTTupdates