Na Mwandishi wetu.
Klabu ya Inter Milan ya Italy imefanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) baada ya kupata ushindi wa magoli 7-6 dhidi ya FC Barcelona ya Hispania.
Mchezo huo ambao ulilazimika kuchezwa kwa dakika 120 baada ya sare ya magoli 3-3 ndani ya dakika 90 baada ya kuwa na upinzani mkali kwa timu zote mbili.
Inter Milan itakutana na mshindi kati ya PSG au Arsenal ambao mchezo wao utapigwa hapo kesho.
#NTTupdates