Na Mwandishi wetu.
Katibu Mkuu UVCCM Taifa Jokate Mwegelo, amewasili Jijini Arusha na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa UVCCM mkoa wa Arusha akiwemo Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha Simon Irange.
Jokate ndiye mgeni rasmi hii leo Mei 17, 2025 kwenye mahafali ya UVCCM vyuo vikuu mkoa wa Arusha na kwenye tukio la Samia First Time Volters.
#NTTupdates.