×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

KAWAWA AJIUNGA NA IFK HANINGE FC

Na Mwandishi wetu.

Goli kipa wa timu ya Taifa ya Tanzania Kwesi Zion Pira Kawawa (22), amejiunga rasmi na klabu ya IFK Haninge akitokea Syrianska FC ya daraja la tatu Sweden.

Kiwango Cha Kawawa kimeendelea kukua na kutua IFK Haninge inashiriki ligi daraja la pili nchini Sweden na anakuwa mchezaji wa pili kuichezea klabu hiyo ambayo mtanzania mwingine Adam Kasa aliwahi kupita klabu hiyo.

#NTTupdates