Na Mwandishi wetu.
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Leo kimefanya Kikao cha viongozi wa Chama hicho Taifa pamoja na watia nia wa nafasi ya Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini.
Kikao hicho ambacho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu komefanyika leo tarehe 03 Machi 2025, katika ukumbi wa Makao Makuu ya CHADEMA, Mikocheni, Jijini Dar es salaam.
Na Ajenda Yao Kuu Katika kikao hicho ikiwa ni No Reforms No Election.
#NTTUpdates