×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

LISSU TAYARI AMEFIKISHWA KISUTU CHINI YA ULINZI MKALI

Na Mwandishi wetu.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA – Taifa, Tundu Lissu tayari amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es salaam, kwa ajili ya kusikiliza kesi mbili zinazomkabili.

Baadhi ya Viongozo na Wanachama wamejitokeza katika Mahakama hiyo kufuatilia kesi hiyo akiwemo Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho Godbless Lema, Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob.

#NTTUpdates