×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

LOMALISA ATIMKIA ANGOLA

Na Mwandishi wetu.

Aliyekuwa mlinzi wa kushoto wa Mabingwa wa kihistoria Young Africans SC, Joyce Lomalisa Mutambala (31), ambaye alimaliza mkataba wake na kutimkia Angola kama mchezaji huru ameondoka klabuni hapo.

Lomalisa ambaye anasifika kwa uwezo wake wa kupiga cross na kumwaga majalo huku akiisaidia Young Africans SC kufika fainali ya kombe la shirikisho Afrika (CAFCC) na robo fainali klabu bingwa Afrika (CAFCL).

Lomalisa amejiunga na klabu ya Sagrada Esperance inayoshiriki ligi kuu nchini Angola.

#Young Africans SC

#NTTupdates