×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA UELEWA KUHUSU UALBINO

Na Mwandishi wetu.

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwaleo Juni 13, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu HAssan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino yanayofanyika katika uwanja wa Mwanga Centre, mkoani Kigoma.

Kaulimbiu ya Maadhimisho hayo kimataifa ni ‘Kudai Haki Zetu, Kulinda Ngozi Zetu, Hifadhi Maisha Yetu’.

Aidha, Kitaifa, kaulimbiu ya Maadhimisho hayo ni: “Ushiriki katika Uchaguzi ni Haki Yetu: Kuchagua na Kuchaguliwa, Linda Haki za Watu Wenye Ualbino.”

#NTTupdates