×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAJALIWA ASHIRIKI UZINDUZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI MWANZA

Na Mwandishi wetu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki katika uzinduzi wa daraja la J.P Magufuli eneo la Kigongo-Busisi Mkoani Mwanza lenye urefu wa kilomita 3 ambapo hadi kukamilika kwakwe limegharimu zaidi ya kiasi cha Shilingi Bilioni 700.

Daraja hilo la J.P Magufuli linatajwa kwenda kuchochea uchumi kwa wakazi wa Mkoa wa Mwanza ,Mikoa ya kanda ya Ziwa na nchi Jirani.

#NTTUpdates