×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAJALIWA KUZINDUA MPANGO WA PILI WA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA NA UWEKEZAJI

Na Mwandishi wetu.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Leo Aprili 3, 2025 atazindua Maandalizi ya Mpango wa Pili wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II).

Mpango huo utawezesha kuvutia uwekezaji wa nje na ndani,kusaidia kuongeza fursa za ajira, kuwezesha upatikanaji wa soko la kimataifa kwa bidhaa za ndani pamoja na kukuza ushindani na ubora wa bidhaa.

Tukio hilo linafanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City Dar es Salaam.

#NTTupdates