Na Mwandishi wetu.
Kiungo wa kati wa Timu ya Taifa ya Uholanzi na klabu ya Liverpool, Ryan Jiro Gvarenberch (22) ameondoka kwenye kambi ya timu ya Taifa baada ya kupata majeraha ambayo yatamfanya akose michezo miwili ya kufuzu michuano ya kombe la Dunia mwaka 2026.
Nyota huyo anarejea kwenye kambi ya klabu yake ya Liverpool kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi zaidi kujua ukubwa wa majeraha yake.
#NTTupdates