×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MAMA LISHE BODA BODA KURASIMISHWA

Na Mwandishi wetu.

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi Neema kwa sekta zisizorasmi ili waweze kushirikiana na serikali katika kukuza uchumi wa nchi.

“Tutarasimisha sekta zisizorasmi, hii sekta ya Mama lishe, maafisa usafirishaji, bodaboda, Balaji na Wajasiriamari Wadogowadogo, Watarasimishwa ili waingie kwenye mfuko rasmi wa serikali ili waweze kupata huduma zao na wenyewe kushirikiana na serikali”.

📷CCM

NTTupdates