Na Mwandishi wetu.
Kuelekea uchaguzi mkuu Octoba 29 mwaka huu, mgombea mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel Nchimbi amewasili katika Jiji la Mwanza ambapo maelfu ya Wanachama wa Chama hicho wamejitokeza kumlaki.
DKT. Nchimbi atanadi sera za Chama Cha Mapinduzi kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza katika viwanja vya Furahisha.
#📷 CCM
#NTTupdates