Na Mwandishi wetu.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 26, 2025 amewasili Mpanda mkoani Katavi ambapo atakuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM jambo la Katavi unaofanyika katika viwanja vya TARURA.
Kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda amepokelewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa, Iddi Kimanta,Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko na Mbunge wa jambo la Katavi Mhandisi Isaack Kamwele.
#NTTupdates