×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

MATUKIO KATIKA PICHA

Na Mwandishi wetu.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofauti ya picha aliponadi Sera na Kuomba Kura kwa Wananchi wa Mlowo Jimbo la Mbozi Mkoani Songwe akiwa njiani kuelekea Mkoa wa Mbeya kwenye Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo September 04,2025.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii

#NTTupdates