
Na Mwandishi wetu.
Mgombea Makamu wa Rais Devota Minja amezungumza na wananchi wa Jimbo la Kibamba siku ya leo Oktoba 1 katika muendelezo wa shughuli za kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29.
Pamoja na kukiombea Chama cha Ukombozi wa Umma kura, Mheshimiwa Devota amewaeleza wananchi wa Kibamba dhamira halisi ya CHAUMMA kuhakikisha kero za wananchi zinatatuliwa haraka iwekekanvyo mara tu CHAUMMA ikiingia madarakani.



#NTTupdates