×
New Times Tanzania New Times Tanzania is a multi-media organization with investments in media platforms spanning newspaper print operations, television, radio broadcasting, digital and online services.
New Times Tanzania

NI JKT QUEENS AU CEASIAA QUEENS KUTINGA FAINALI NGAO YA JAMII

Na Mwandishi wetu.

Mchezo wa mapema hatua ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii unapigwa leo kwenye uwanja wa KMC Complex uliopo Mwenge Dar es Salaam majira ya saa 7:00 mchana ukiwakutanisha JKT Queens dhidi ya Ceasiaa Queens ya mkoani Iringa.

Vilabu hivyo, vimetambiana kila upande ukiahidi kupata ushindi kwenye mchezo huo na kutinga fainali.

Mshindi wa mchezo huo atakutana na mshindi kati ya Simba Queens au Yanga Princess ambao wao watashuka dimbani saa 10:00 Jioni kwenye uwanja huo huo.

#NTTUpdates